Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Njia ya kuweka Instagram Stories zako zionekane na watu unaowataka tu

Sunday 02-12-2018 09:00:03am Swahili Times


Instagram ni miongoni mwa mitandao mingi kama vile Twitter na Facebook ambayo kwa muda watu wamekuwa wakifahamu kwamba, kila wanachokiweka humoo, kinaonekana na watu wengi. Lakini ukweli ni kwamba, kuna mifumo iliyowekwa katika mitandao hii ya kuwawezesha wale tu ukaoamua waone unachoweka. Kwa upande wa Instagram Stories, watu wengi hufurahi wanapopata wafuasi wengi kutazama picha zao. Lakini kuna wakati mtu huweka picha zake ambazo asingependa kila mtu aone, bali watu wachache wa karibu tu. Hilo si tatizo tena kwani juma hili Instagram imezindua huduma hiyo ili ukiweka picha au video zako ambazo ni personal uchague watu ambao wataziona, lakini wakati . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E