🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Tuesday 11-09-2018 09:00:03pm Swahili Times
Watu wengi sasa huchati haswa nyakati za usiku kwa sababu ndio muda ambao wengi hawapo kazini hivyo huwasiliana na ndugu jamaa na marafiki pamoja na kupita kwenye mitandao ya kijamii kufahamu kile kilichotokea wajati wakiwa kazini. Kati ya hao, wengi wao hutumia simu zao wakiwa kitandani, muda ambao walitakiwa kuzizima na kulala. Lakini hii imekuwa desturi kwa wengi, na hii inasababishwa na kutofahamu madhara katika ubongo na mwili yanayojitokeza kwa kutumia simu muda mfupi kabla ya kulala. Daktari Dan Siegel kutoka Chuo Kikuu cha California, Los Angeles (UCLA) ameeleza kwamba, unapotumia simu ukiwa kitandani usiku, mwanga wa simu unaudanganya ubongo wako . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E