Bongo Trends

đź””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Kauli ya serikali kuhusu milioni 50 kwa kila kijiji

Tuesday 11-09-2018 09:00:03pm Swahili Times


Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali haitatoa fedha TZS 50 milioni zilizoahidiwa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu kwamba zingegawiwa kila kijiji kwa ajili ya shughuli za kimaendeleo. Akiwa katika Kijiji cha Kazuramimba wilayani Uvinza mkoani Kigoma, Makamu wa Rais amesema kuwa, badala ya kutoa fedha hizo kwa kijiji, serikali imeamua kuwekeza fedha hizo katika miradi ya maendeleo ya jamii kama vile shule, afya, barabara, maji. “Serikali ya awamu ya tano imeamua kujitegemea katika kujitegemea lazima tujiwekee mikakati kuleta maendeleo katika nchi yetu. Tumeanza kuwekeza katika maswala ya usafiri wa anga na nyie ni mashahidi mmeshuhudia tukinunua . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E