🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 17-06-2019 09:00:03am Bongo5
Imeripotiwa kuwa mtu mmoja nchini Kenya amepatwa na ugonjwa wa Ebola na tayari amelazwa katika Hospitali ya Kericho,nchini humo. Taarifa za awali kutoka kwa Maafisa wa afya katika Kaunti ya Kericho wamesema kuwa, Mgonjwa huyo siku chache zilizopita alisafiri kutoka Malaba eneo la mpaka kati ya Kenya na Uganda. Tayari Sampuli za damu za mgonjwa …The post TAHADHARI: Ugonjwa wa Ebola watua Kenya, Serikali yatoa angalizo appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E