🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 17-06-2019 09:00:03am Bongo5
Bondia maarufu kutoka Uingereza, Tyson Furry alfajiri ya kuamkia leo amemtwanga KO bondia kutoka Ujerumani, Tom Schwarz kwenye mchezo wa uzito wa juu. Mchezo huo usiokuwa wa ubingwa umepigwa katika ukumbi wa MGM Grand, Las Vegas, Marekani ambapo Tyson alimpiga KO mbabe huyo kunako raundi ya pili ya pambano hilo lililokuwa na raundi 12. Kabla …The post MASUMBWI: Tyson Furry amtwanga mtu KO nchini Marekani, Mwenyewe amtangazia kiama mbabe Deontay Wilder appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E