🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 21-08-2019 09:00:04pm Bongo5
Viongozi wa kijeshi nchini Sudani na muungano wa makundi ya upinzani wameunda rasmi baraza huru litakaloiongoza nchi hiyo kurudi kwenye utawala wa kiraia. Baraza hilo litaiongoza Sudani katika kipindi cha mpito cha miaka mitatu. Luteni Jenerali Abdel Fattah Abdelrahman Burhan ataliongoza baraza hilo kwa siku za awali. Wajumbe wa baraza ni raia sita na maafisa …The post SUDAN: Jeshi na muungano wa upinzani waunda serikali ya mpito, viongozi kuapishwa Jumatano hii appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E