🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 21-08-2019 09:00:04pm Bongo5
Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Senyamule, ameonya kuwa mtu yeyote au kikundi chochote kitakachoibuka kukwamisha juhudi za Rais John Magufuli kuvutia uwekezaji wenye tija kiuchumi katika sekta za madini na viwanda wilayani humo atashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria za nchi. Senyamule amesema hayo jana Agosti 20, 20119 wakati akifungua mkutano wa siku moja …The post Kikundi au mtu yeyote atakayekwamisha juhudi za Rais Magufuli kukiona cha moto appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E