🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 21-11-2018 09:00:02pm Bongo5
Fowadi matata duniani wa soka anayekipiga katika timu ya Juventus Turin, Cristiano Ronaldo siku ya jumamosi ya tarehe 17/11/2018 aliamua kwenda kutafuta kanisa na mahali pakufanyia harusi yeke. Ronaldo mwenye umri wa miaka 33 na mchumba wake aliyemvisha Pete ya uchumba siku kadhaa zilizopita Georgina Rodriguez walionekana wakitembelea kanisa la Gran Madre di Dio lililopo …The post Ripoti: Ronaldo anaswa akisaka kanisa la kufunga ndoa na mchumba wake appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E