🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 21-11-2018 09:00:02pm Bongo5
Beki kisiki wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya Baroka FC ya nchini Afrika Kusini, Abdi Banda ameamua kuvunja ukimya na kuwajibu wale wote wanaosema amejitoa kwenye kikosi cha Taifa Stars. Kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram, Banda amewajibu kuwa yanayosemwa hayana ukweli wowote ila alikosa nafasi kutokana na ubora wa wachezaji waliyopo katika …The post Abdi Banda afunguka tetesi za kuitosa Taifa Stars appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E