🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Wednesday 03-10-2018 09:00:02pm Swahili Times
Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Uhalifu wa Mitandao limesema kuwa litawakamata na kuwachukulia hatua wale wote wanaoendesha makundi ya WhatsApp na kurasa za Instagram wanaojihusisha na biashara ya ngono au kuweka picha za utupu. Hayo yamesemwa na Joshua Mwangasa ambaye ni Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Polisi nchini, wakati akizungumza na EATV ambapo amebainisha kuwa wanaendelea na uchunguzi wa kuwabaini wale wote wanaoendesha biashara ya kujiuza na kuweka picha za uchi kwenye mitandao ya kijamii hususan kwenye mitandao ya Whatsapp na Instagram. Amesema kuwa, watu kadhaa wamekamatwa hadi sasa na wanaendelea kuhakikisha kuwa wanawabaini wote, kwani kujiuza na kuweka picha . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E