đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Wednesday 03-10-2018 09:00:02pm Swahili Times
Kuridhika kimapenzi ni jambo moja kubwa sana litakalokusaidia wewe pamoja na mpenzi, mke au mume wako muendelee kuwa na uhusiano wenye afya nzuri, lakini pia ni muhimu kwa afya yako ya akili. Lakini licha ya jambo hilo kuwa muhimu, lakini kwa maisha ya sasa, watu au wapenzi wameonekana kuweka mbele sana kujitosheleza wao wenyewe kuliko wote wawili. Pia, huenda watu wanaishi maisha ya kimapenzi ambayo hawaridhiki nayo tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma. Sababu kubwa ya hayo yote ni mtandao (internet) ambayo kwa kiasi kikubwa ni ya kubebeshwa lawama kwa namna ilivyobadili maisha ya kimapenzi ya watu wengi. Intaneti imebadili . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E