🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 11-04-2019 09:00:03pm Bongo5
Mwanzilishi wa WikiLeaks Julian Assange akamatwa na jeshi la polisi la Uingereza. Mwanaharakati huyo, mwaka 2012 alikimbilia ndani ya Ubalozi wa Ecuador Jijini London baada ya kuanza kusakwa na US & Sweden. Assange amekamatwa na jeshi hilo kwa madai amefanya kosa la unyanyasaji wa kijinsia kwa wanawake. Vyombo vingine vya habari vinadai mtandao wake ulichapisha …The post Mwanzilishi wa WikiLeaks Julian Assange akamatwa na Polisi appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E