Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Breaking: Utawala wa miaka 30 wa Omar al-Bashir Sudan wafikia kikomo leo, Jeshi latangaza kushika hatamu

Thursday 11-04-2019 09:00:03pm Bongo5


Waziri wa ulinzi Sudan ametangaza katika televisheni kwamba rais Omar al Bashir ameondolewa madarakani na anazuiliwa mahali salama. Ametangaza serikali ya mpito ya miaka miwili. kadhalika ameeleza kuwa mipaka yote imefungwa na ofisi ya waziri mkuu, bunge na usalama wa kitaifa zote zimevunjiliwa mbali. Utawala wa rais wa Sudan Omar al-Bashir umegubikwa na mapigano. Aliingia …The post Breaking: Utawala wa miaka 30 wa Omar al-Bashir Sudan wafikia kikomo leo, Jeshi latangaza kushika hatamu appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E