Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Mwanajeshi mmoja wa Tanzania na sita wa Malawi wauawa na Waasi DR Congo

Friday 16-11-2018 09:00:02am Swahili Times


Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) limesema kuwa wanajeshi 7 wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) wameuawa na waasi Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Katika taarifa iliyotolewa jana Alhamisi, kati ya wanajeshi 7 waliouliwa, sita ni raia wa Malawi, huku mmoja akitokea nchini Tanzania. Mauaji hayo yametokea wakati bado kukiwa na kumbukumbu ya vifo vya wanajeshi 15 nchini humo vilivyotokea takribani mwaka mmoja uliopita. Kaimu Mkuu wa MONUSCO, Jenerali Bernard Commins alisema Jumanne walinzisha operesheni kwa kushirikiana na Jeshi la DRC ((FARDC) dhidi ya waasi wa Allied Democratic Forces (ADF), ambao wanahusishwa na . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E