🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Friday 16-11-2018 09:00:02am Swahili Times
Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya NMB (NMB Bank Plc) imetangaza kuwa Mkurugenzi Mtendaji wake, Bi Ineke Bussemaker atafikia ukomo wa uongozi katika benki hiyo mwishoni mwa mwezi Disemba 2018, ambapo ataondoka kwa ajili ya kwenda kutekeleza majukumu mengine katika Benki ya Robobank nchini Uholanzi. Benki hiyo imetoa shukrani zake kwa kiongozi huyo na kueleza kuwa, katika kipindi cha miaka minne ambacho ameiongoza (2015 hadi 2018), benki hiyo imeweza kufanya vizuri kwa kuwa benki yenye faida zaidi nchini, imefanya vizuri katika utoaji hudumu kupitia mtandao, na pia imechangia kwa kiasi kikubwa katika kukuza mfumo wa fedha jumuishi miongoni mwa Watanzania. “Nitaondoka . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E