🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 02-07-2019 09:00:03am Bongo5
Mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini Urusi katika jimbo la Irkutsk imesababisha vifo vya watu 12 . Huku ikisababisha mafuriko. Makamu wa kwanza wa waziri  mkuu wa Urusi Vitaly Mutko amefahamisha katika kituo cha runinga cha Rossiya -24  kuwa watu 12 wamefariki kutokana na mafuriko yaliosababishwa na mvua kali zilizonyesha nchini Urusi. Kwa mujibu wa Shirika …The post Mvua kubwa yasababisha mafuriko Urusi, yaua watu 12 huku zaidi ya majumba 3000 yakiathiriwa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E