🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 02-07-2019 09:00:03am Bongo5
Wanaume kumi na sita wamekamatwa baada ya umati wa watu kumpiga vibaya kwa fito afisa mwanamke wa misitu wakati maafisa wa polisi wakitazama katika jimbo la kusini nchini India Telangana. Umati huo ulioongozwa na mfuasi wa chama kikuu cha kisiasa katika jimbo hilo, walikuwa wakilalamika kuhusu kampeni ya upanzi wa miti iliyoidhinishwa Jumapili. Video ya …The post INDIA: Wanaume 16 mbaroni kwa kumpiga afisa misitu wa kike appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E