🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 14-01-2019 09:00:05am Bongo5
Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria Akinola Olumuyiwa alimaarufu Akaycentric, ambaye ni kati ya wasanii kutoka nchini Nigeria wanaofanya vizuri kwa sasa ameachia video ya wimbo wake unaojulikana kwa jina la “Wait”. Msanii huyu ambaye alizaliwa katika mji wa Benin City, mbali na kufanya muziki lakini pia ni mwandishi mzuri wa mashairi lakini pia ni Mjasiriamali. Licha ya kufanya ngoma ya Wait, pia alishawahi kutoa ngoma kama Mamma mia na Lost. Wimbo wake wa Wait ameufanyia kwa …The post MUSIC VIDEO: Ngoma mpya ya msanii kutoka Nigeria Akaycentric – ‘Wait’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E