Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Dereva aliyeng’atwa na Trafiki mkoani Songwe, aburuzwa mahakamani kwa makosa mawili (+video)

Monday 14-01-2019 09:00:03pm Bongo5


Kuanzia juzi kulikuwa na video iki-trend kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Dereva wa Fuso akipambana na Askari wa Usalama wa Barabarani, huku akilalamika kuwa anang’atwa na Askari huyo. Sasa kufuatia tukio hilo, tayari Jeshi la Polisi mkoani Songwe limeeleza sababu ya askari wa usalama barabarani kumshambulia dereva huyo kwa kwa kumpiga. Jeshi la Polisi mkoani …The post Dereva aliyeng’atwa na Trafiki mkoani Songwe, aburuzwa mahakamani kwa makosa mawili (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E