Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Muhimbili: Majeruhi wa ajali ya moto Moro wabakia 18 kati ya 47

Monday 19-08-2019 09:00:03pm Bongo5


Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imesema hadi sasa jumla ya majeruhi 29 kati ya 47 waliopokelewa kutoka mkoani Morogoro Agosti 11 wamefariki dunia. Kwa mujibu wa Msemaji wa Hospitali hiyo, Aminael Aligaisha mgonjwa Neema Shabani Chakachaka aliyekuwa na umri wa miaka 30 amefariki dunia alfajiri ya leo na Rosijo Mollel (35) alifariki dunia jana mchana …The post Muhimbili: Majeruhi wa ajali ya moto Moro wabakia 18 kati ya 47 appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E