Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mbunge na wananchi wake wagomea mradi wa barabara, Wadai upo chini ya kiwango unawaletea maradhi

Sunday 18-08-2019 09:00:03pm Bongo5


Wananchi wa kijiji cha Wami (Mbalwe) kilichopo katika kata ya Ihalimba wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, Wameikataa barabara inayotoka katika kijiji cha Vikula kwenda Wami(Mbalwe) kutokana na kutengenezwa chini ya kiwango na kusababisha madhara ya kiafya kwa wananchi wa kijiji hicho. Wakizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini, Mahmoud …The post Mbunge na wananchi wake wagomea mradi wa barabara, Wadai upo chini ya kiwango unawaletea maradhi appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E