Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Msomi adukua mtandao wa serikali na kujiajiri mwenyewe, ajilipa mshahara mnono kwa miezi 9

Monday 15-04-2019 09:00:03am Bongo5


Mwanafunzi mmoja anayesomea masuala ya TEHAMA nchini Afrika Kusini, Bright Chabota anasakwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kudukua data za serikali katika Sekta ya Afya na kisha kujiajiri mwenyewe. Duru za habari nchini humo zinaeleza kuwa, Bright amekuwa akipokea mshahara bila kufanya kazi kuanzia mwezi Juni mwaka jana. Bright Chabota inaarifiwa kuwa hakuwahi …The post Msomi adukua mtandao wa serikali na kujiajiri mwenyewe, ajilipa mshahara mnono kwa miezi 9 appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E