Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mama yake Lukaku apagawa, ashindwa kuamini baada ya kukutana uso kwa uso na Messi ‘Oh Messi, Messi !’ (+video)

Monday 15-04-2019 09:00:03am Bongo5


Inawezekana ukashindwa kuamini kama mama mzazi wa mchezaji maarufu duniani na anayecheza kwenye ligi kubwa kama ya Uingereza anaweza kuwa bumbuwazi na mshangao mkubwa kwa kukutana na nyota Lionel Messi. Ila ni kweli hali hiyo imeweza kumkuta mama mzazi wa Romelu Lukaku ambaye alishindwa kuamini kile alichokiona machoni mwake, pale mchezaji bora kabisa duniani Lionel …The post Mama yake Lukaku apagawa, ashindwa kuamini baada ya kukutana uso kwa uso na Messi ‘Oh Messi, Messi !’ (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E