Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Mawaziri wapelekwa kusuluhisha mgogoro kati ya RC Kilimanjaro na Wakuu wa Wilaya

Tuesday 04-12-2018 09:00:02am Swahili Times


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewatuma mawaziri wawili kutoka ofisi ya Rais kwenda mkoani Kilimanjaro ili kutatua tatizo la uhusiano kati ya  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira na wakuu wa wilaya ambapo alidokeza kuwa chanzo cha pande hizo kutokuelewana na matumizi ya adhabu ya kuwaweka watu ndani waliyonayo wakuu wa wilaya na mkuu wa mkoa. Waziri Mkuu alitoa maagizo hayo jana Disemba 3, 2018 wakati akifungua mafunzo ya wakuu wa mikoa na makatibu tawala wa mikoa ya Tanzania Bara yaliyolenga kujengeana uwezo jijini Dodoma. Mawaziri walioagizwa kwenda mkoani Kilimanjaro ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E