đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Tuesday 04-12-2018 09:00:02am Swahili Times
Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga amesema kuwa yeye anamilikia kwa namna moja ama nyingine anamiliki redio zote zinazohusiana na burudani na vijana nchini, na kwamba lengo la kufanya hivyo ni kutanua wigo wa muziki wa Tanzania ili kuweza kuwafikia watu wengi zaidi. Kusaga ameyasema hayo leo Disemba 4, 2018 wakati akizungumza katika mahojiano mubashara kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds FM baada ya kuulizwa swali na mtangazaji mmoja. Akifanya mahojiano hayo, mtangzaji huyo alimuuliza kama ni kweli anamiliki Wasafi FM kama ambavyo imekuwa ikidaiwa na watu mbalimbali, lakini yeye akajibu na kwa kusema kuwa, hataki . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E