đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Tuesday 18-09-2018 09:00:01am Swahili Times
Kuwa na asubuhi iliyo njema na bora, ni hatua kubwa katika kuwa na siku yenye mafanikio. Hii ina maana kuwa, unapoharibu asubuhi yako kwa sababu yoyote ile, uwezekano wa siku yako kutokwenda vizuri ni mkubwa sana. Je! mara tu baada ya kuamka asubuhi huwa unafanya nini? Chochote unachokifanya asubuhi kinaweza kikawa kinaitengeneza au kuiharibu asubuhi yako. Umewahi kujiuliza kama chochote ukifanyacho mara tu baada ya kuamka kina madhara kiafya ya mwili au akili ama la? Wataalamu wa masuala ya afya wanaeleza kuwa kuna baadhi ya mambo ambayo hupaswi kuyafanya mara tu baada ya kuamka, na kwamba ni vyema ukaacha muda . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E