Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Majiji 10 tajiri zaidi barani Afrika

Tuesday 18-09-2018 09:00:01am Swahili Times


Jiji la Nairobi limeshika nafasi ya kwanza kwa majiji yenye utajiri zaidi Afrika Mashariki huku nafasi ya pili ikishikwa na Jiji la Dar es Salaam kutoka Tanzania lenye jumla ya utajiri wa TZS trilioni 57. Katika orodha ya majiji 10 yenye utajiri zaidi Afrika, Jiji la Dar es Salaam halijatokea huku Nairobi ikishika nafasi ya 6. Katika orodha hiyo, majiji manne kutoka Afrika Kusini yameingia. Takwimu hizo zilizotolewa na  New World Wealth na AfrAsia Bank zimeonesha majiji yenye utajiri zaidi na kutaja baadhi ya shughuli katika majiji hayo ambazo zinaingiza fedha zaidi na kuyafanya majiji hayo kuendelea kuwa tajiri. Katika utafitia . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E