🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 03-10-2018 09:00:02am Bongo5
Mwanamama Mjasiriamali Zari amejikuta akichafua hali ya hewa mtandaoni baada ya kumuandikia mzazi mwenzie, Diamond Platnumz ujumbe uliojaa dharau. Zari akiandika ujumbe huo kwa lengo la kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa Diamond Platnumz ameandika kwa kusema “Happy birthday mwenye vikima vyake“. Kwa ujumbe huo, watu wengi wamesikitishwa na kitendo cha mwanamama huyo kuwafananisha watoto …The post Zari achafua hali ya hewa mtandaoni, amuandikia Diamond ujumbe wa ‘dharau’ usiovumilika appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E