Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Zaidi ya watu 1,000 wakimbia makazi yao na 60 wafariki dunia kutokana na mafuriko nchini Afrika Kusini

Thursday 25-04-2019 09:00:02am Bongo5


Watu wapatao 60 wamefariki dunia na zaidi ya 1,000 wameyakimbia makazi yao baada ya mvua kali kusababisha mafuriko pamoja na maporomoko ya tope katika eneo la pwani ya mashariki mwa Afrika Kusini. Vifo vingi vimeripotiwa katika jimbo la KwaZulu-Natal. Mafuriko hayo pia yamesababisha vifo vya watu watatu katika jimbo jirani la Cape Mashariki. Mvua hizo …The post Zaidi ya watu 1,000 wakimbia makazi yao na 60 wafariki dunia kutokana na mafuriko nchini Afrika Kusini appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E