Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Yaelezwa takribani wafungwa 57 wameuawa kikatili katika gereza moja nchini Brazil

Wednesday 31-07-2019 09:00:04pm Bongo5


VURUGU kati ya magenge mawili ya gerezani, yamesababisha vifo vya watu 57 ambapo kati yao 16 walikatwa vichwa. Hayo ni kwa mujibu wa maofisa katika Jimbo la Para, ikiwa ni makabiliano mabaya kabisa ya karibuni wakati Serikali ikipambana kuyadhibiti magereza yaliyojaa kupindukia. Vurugu zilianza katika gereza moja la mji wa kaskazini mwa Altamira, zikiyahusisha magenge …The post Yaelezwa takribani wafungwa 57 wameuawa kikatili katika gereza moja nchini Brazil appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E