🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 10-04-2019 09:00:03am Bongo5
Mataifa ya Magharibi yameungana na waandamanaji wa Sudan wanaodai mpango wa mpito wa kisiasa huku jeshi likiachana kuwatawanya waandamanaji waliopiga kambi nje ya makao makuu yao. Maelfu ya waandamanaji wakiimba nyimbo za “uhuru, uhuru” walibakia nje ya makao makuu ya jeshi mjini Khartoum kwa siku ya nne siku ya Jumanne, baada ya vikosi vya usalama …The post Wito watolewa kuwepo na kipindi cha mpito Sudan, mataifa ya Magharibi yaungana na waandamanaji appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E