🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 27-08-2019 09:00:03pm Bongo5
Wimbo wa Tetema ulioimbwa na msanii wa muziki kutoka Tanzania, Rayvanny umefungiwa kuchezwa nchini Kenya kwa madai kuwa una mashairi machafu ambayo yanaweza kuharibu jamii endapo wimbo huo utaendelea kuchezwa kwenye jamii. Akitoa tamko hilo leo Jumanne Agosti 27, 2019, Mkurugenzi wa Bodi ya Filamu nchini humo, Dkt. Ezekiel Mutua amesema wimbo huo ni marufuku …The post Wimbo wa Tetema wa Rayvanny wafungiwa nchini Kenya, Serikali yadai ‘umejaa mashairi ya ngono’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E