Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Willian adhihirisha wazi bifu lake na Conte ‘asingetimuliwa ningeondoka mimi’

Monday 13-08-2018 09:00:02pm Bongo5


Mchezaji wa Chelsea, Willian Borges da Silva amesema kuwa asingekuwa nasababu ya kuendelea kubaki kwenye klabu hiyo kama aliyekuwa meneja wao, Antonio Conte angesalia kwenye timu hiyo. Maneno hayo yanadhihirisha wazi kuwa wawili hao hawapikiki chungu kimoja kwani nikweli kuwa Willian aliamua kuendelea kubaki the Blues mara baada ya Conte kutimuliwa na nafasi yake kuchukuliwa na …The post Willian adhihirisha wazi bifu lake na Conte ‘asingetimuliwa ningeondoka mimi’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E