🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 17-07-2018 09:00:02pm Bongo5
Aliyekuwa meneja wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa makosa makubwa anayojutia kwenye taaluma yake ya ufundishaji soka ni kukaa kwa miaka 22 ndani ya timu hiyo. Wenger ameyasema hayo wakati alipokuwa akifanya mahojiano na chombo cha habari cha RTL hali iliyoshangaza watu wengi waliyokuwepo mahala hapo. Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 68 …The post Wenger ajutia kukaa Arsenal kwa miaka 22 ‘Nilifanya makosa makubwa sana’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E