Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

WATUMIAJI WA TECNO CAMON KUPEWA NAFASI YA BUBADILISHA SIMU ZA CAMON KWA TECNO CAMON 11 MPYA.

Wednesday 21-11-2018 09:00:02am Swahili Times


Ikiwa zimebaki siku chache kuufunga mwaka 2018, wadau wa kampuni ya simu ya TECNO wapo tayari kutegemea makubwa zaidi kuhusiana na ujio wa camon 11. Camon 11 inasemekana kuja na ofa itakayowasaidia wateja wa camon kubadilisha camon za awali na kupatiwa camon 11 mpya na Endapo uvumi huu utakuwa na ukwel wowote basi hii itakuwa ni simu ya kwanza ya TECNO kuja na ofa ya kipee. Na ukiachilia kwamba matoleo ya camon yanasifika zaidi katika upigaji picha kali, lakini pia inasemekana huenda camon 11 ikawa sio simu ya kuiangalia mara moja ukaridhika na hii ni kutokana na tetesi za wadau . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E