Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Watu 29 wajeruhiwa kwenye ajali baada ya treni kugongwa na lori mkoani Dodoma

Tuesday 18-06-2019 09:00:03pm Bongo5


Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi amebainisha kuwa ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo ambapo Lori liligonga treni. Treni hiyo iliyokuwa inatoka Tabora kwenda Dar es Salaam ilipata ajali kabla ya kuingia stesheni ya Dodoma na kuanguasha mabehewa yake matatu, Kw3a mujibu wa Mwananchi digital, Ajali hiyo imetokea jana saa 5.30 usiku. Mkuu …The post Watu 29 wajeruhiwa kwenye ajali baada ya treni kugongwa na lori mkoani Dodoma appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E