Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Warembo Miss Kinondoni kuosha magari kwa Sh 10,000, zawadi ya mshindi wa kwanza kutangazwa kesho (+video)

Friday 28-06-2019 09:00:04pm Bongo5


Mamiss Kinondoni hapo kesho wanatarajia kuosha magari kwaajili ya kuchangia watoto yatima, huku zoezi hilo likienda sambamba na uzinduzi wa shindano lao litakalofanyika pale Life Park Mwenge. Akizungumza na Bongo5 Muandaaji wa shindano hilo, Nancysupermodel amesema kuwa warembo hao wataosha magari kwa gharama ya Sh 10, 000 ili kuwachangia watoto yatima.The post Warembo Miss Kinondoni kuosha magari kwa Sh 10,000, zawadi ya mshindi wa kwanza kutangazwa kesho (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E