Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Wanasayansi watumia HIV kuwatibu watoto wenye ukosefu wa kinga imara mwilini ‘Bubble boy’, nane wapona

Thursday 18-04-2019 09:00:02am Bongo5


Wanasayansi wa Marekani wanasema kuwa wametumia HIV kutengeza matibabu ya jeni ambayo yaliwaponya watoto wanane waliokuwa na ukosefu wa kinga imara mwilini kwa jina ”Bubble boy”. Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, Matokeo ya utafiti huo uliofanyika katika hospitali ya Tennesee yalichapishwa katika jarida la matibabu la Uingereza. Watoto hao waliozaliwa bila kinga …The post Wanasayansi watumia HIV kuwatibu watoto wenye ukosefu wa kinga imara mwilini ‘Bubble boy’, nane wapona appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E