Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Wanaotuma SMS za utapeli wafikishwa mahakamani

Tuesday 07-08-2018 09:00:02pm Swahili Times


Watu 13 wamefikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo Agosti 7, 2018  wakikabiliwa na makosa mbalimbali pamoja na uhujumu uchumi ikiwemo utakatishaji fedha wa shilingi milioni 154. Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga akisoma mashtaka matano yanayowakabili watuhumiwa hao mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Kelvin Mhina ambapo amedai kuwa washtakiwa wanakabiliwa na mashtaka 5 ambayo wameyatenda katika mikoa mbalimbali. Washtakiwa katika kesi hiyo ni, Boniface Maombe, David Luvanda, Moshi Sungura, Amos Bosco, Lule Kadenge, Jofrey Kapangamwaka na William Nturo. Washtakiwa wengine ni pamoja na Regius Mauka, Collins Basham, Francis Kapalata, Kasonde Kapela, Enock Mwandaji na Pascal Kiatu. Akisoma . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E