🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 01-07-2019 09:00:03am Bongo5
Watu 7 wanaripotiwa kuuawa na vikosi vya usalama kwenye maandamano yaliyofanyika jana mchana nchini Sudan. Duru za habari nchini humo, zinaeleza kuwa siku ya jana wananchi katika miji mbalimbali nchini humo waliandamana ikiwemo mji mkuu wa Khartoum, Jambo ambalo lilipelekea vikosi vya usalama kuwadhibiti kwa kuwafyatulia risasi za moto. Imeelezwa kuwa lengo la maandamano hayo …The post Wanajeshi waingilia kati maandamano nchini Sudan, Watu 7 wauawa kwa kupigwa risasi appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E