Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Wakuu wa jeshi wajiuzulu Sudan, ni muda mchache baada ya baraza kukubaliana na madai ya waandamanaji

Thursday 25-04-2019 09:00:04pm Bongo5


Viongozi wa kuu watatu wa Baraza la Uongozi wa Kijeshi wamejiuzulu nchini Sudan hapo jana kufuatia baraza hilo kusema limefikia makubaliano kuhusu madai mengi ya viongozi wa maandamano wanaotaka Serikali ya kiraia. Baraza hilo lenye wajumbe 10 liliwaalika viongozi wa maandamano kwa mazungumzo baada ya waandamanaji hao kuahirisha mkutano wa Jumapili na viongozi wa kijeshi. …The post Wakuu wa jeshi wajiuzulu Sudan, ni muda mchache baada ya baraza kukubaliana na madai ya waandamanaji appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E