🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Tuesday 21-08-2018 09:00:02am Swahili Times
Wakili maarufu Uganda, Male Mabirizi amemfikisha Mwanasheria Mkuu wa nchi hiyo kwenye Mahakama ya Kikatiba, kuhusu tukio la Mbunge wa Jimbo la Kyadondo Mashariki Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine kushitakiwa Mahakama ya Kijeshi badala ya Mahakama ya Kiraia. Wakili huyo pia amefungua Kesi ya Kikatiba kwa andiko la kurasa 30696, kupinga kufutwa ukomo umri wa kugombea Urais ambao unamfanya Rais Museveni kuwa Rais wa maisha wa Uganda iwapo ataamua hivyo. Wakili huyo alitumia gari maarufu kama Kirukuu (Isuzu Carry) kufikisha makabrasha yake mahakamani. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E