🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 08-11-2018 09:00:02am Bongo5
Wasimamizi wa kampuni moja ya Kichina wamefungwa jela kwa kuwaadhibu wafanyakazi walioshindwa kufikia malengo ya mauzo kibiashara kunywa mkojo na pia kula mende. Polisi wamechukua hatua baada ya video kuowaonesha wafanyakazi hao wakichapwa kwa mkanda na kunywa kitu kioevu chenye rangi ya njano ambacho kinadaiwa kuwa ni mkojo. Mameneja watatu wamehukumiwa kifungo jela kati ya …The post Wafanyakazi walishwa mende baada ya kushindwa kufikia malengo ya mauzo ya kampuni appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E