🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Monday 17-09-2018 09:00:02am Swahili Times
Ni shahada ya chuo kikuu gani Afrika ambayo inapendelewa na waajiri zaidi duniani? Afrika Mashariki kuna chuo kikuu kimoja pekee, vyuo vikuu vingine vikitoka Afrika Kusini na Misri. Hii ni kwa mujibu wa utafiti wa ‘Kuajirika kwa Wanaofuzu na Shahada Duniani wa 2019’ ambao umefanywa na kampuni ya QS Group na huwa kiashiria cha matumaini ambayo wanafunzi wanaweza kuwa nayo wakitafuta kazi baada ya kufuzu. Aidha, huwa ni kiashiria kwa vyuo vikuu kwamba vinafaa kujivunia kazi na juhudi zao. Kampuni ya QS Group pia hutayarisha Orodha ya Vyuo Vikuu Bora Duniani. Orodha ya sasa imetayarishwa baada ya kutafuta maoni ya . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E