🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 27-07-2018 09:00:01pm Bongo5
Wenyeji wa michuano ya Olympics mwaka 2020 nchi ya Japan imeamua kujidhatiti kuelekea mashindano hayo yanayo shirikisha mataifa mbalimbali kwa kutengeneza magari yenye misikiti ambayo itaweza kutembea kila mahali ili kuwapatia huduma ya kusali wageni wote watakao hudhuria. Kwamujibu wa scoopempire.com Magari hayo ambayo yametengezwa na Tokyo company yamezinduliwa mapema wiki hii kwaajili ya kuonyesha wageni wenye imani ya …The post Video: Msikiti unaotembea wazinduliwa kwenye michuano ya Olympic Japan appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E