🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 03-10-2018 09:00:02pm Bongo5
Baada ya kuchukua miezi mitatu toka kutoroka kwake gerezani hatimae Polisi nchini Ufaransa leo siku ya Jumatano wamefanikiwa kumkamata jambazi sugu, Redoine Faid sambamba na kaka zake wawili huko kusini mwa jiji la Paris. Chanzo kimoja cha karibu kimethibitisha, Faid ambaye anatokea kwenye kundi la watukutu zaidi nchini Ufaransa lijulikanalo kama ‘notorious ganster’ kuwa amekamatwa. …The post Video: Mfungwa mtukutu duniani aliyetoroka na helkopta gerezani anaswa tena appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E