🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 26-11-2018 09:00:02pm Bongo5
Nyota wa klabu ya Olympique Lyon kutoka Ufaransa, Memphis Depay amewashukuru mashabiki zake kwa staili ya kuimba mara baada kufikisha followers milioni tano kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram. Depay aliyeitumikia Man United kabla ya kutimkia Lyon alitumia staili ya ‘Rapp’ kufikisha ujumbe wake kwa mashabiki zake jambo ambalo limeonekana kuwavutia wengi hasa kwa mwanasoka kuonyesha …The post Video: Memphis Depay awashukuru mashabiki kwa ‘freestyle’ baada ya kufikisha followers mil. 5 appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E