🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 07-09-2018 09:00:02am Bongo5
Mwanamuziki wa Uganda ,Robert Kyagulanyi kwa jina Maarufu Bobi Wine ambaye pia ni Mbunge amesema hana mpango kwa sasa wa kutaka kugombea Urais anachohitaji na uhuru wa wananchi wa Uganda na nchi yao. Muimbaji huyo amekuwa akielezea kupitia mitandao ya kijamii masaibu na mateso anayodai aliyopitia alipokamatwa na kuzuiliwa katika kambi ya kijeshi mwezi uliopita …The post Video: Bobi Wine afunguka tetesi za kutaka kugombea Urais Uganda ‘Sio kumng’oa Museveni’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E