Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Uwanja wa ndege wafunguliwa tena, kiongozi aonya Hong Kong huwenda ikatumbukia shimoni

Tuesday 13-08-2019 09:00:03am Bongo5


Baada ya maandamano hapo jana uwanja wa ndege wa Hong Kong umeruhusu tena safari za ndege. Kiongozi wa kisiwa hicho Carrie Lam ameonya kuwa Hong Kong inaweza kutumbukia shimoni ambako itakuwa vigumu kujitoa. Shughuli kwenye uwanja wa ndege wa Hong Kong ambao ni miongoni mwa viwanja vinavyohudumia wasafiri wengi zidi duniani, zimeanza tena taratibu asubuhi ya leo, …The post Uwanja wa ndege wafunguliwa tena, kiongozi aonya Hong Kong huwenda ikatumbukia shimoni appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E