Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Utafiti: Madhara yatokanayo na kulala kupita kiasi

Sunday 23-09-2018 09:00:02pm Swahili Times


Kwa mtu yeyote yule, unapokuwa umechoka huwezi kufanya mambo kwa ufanisi na hivyo unashauriwa kupumzika kabla ya kuendelea na ulichokuwa unakifanya. Kama kuna sehemu ya kulala, watu wengi watapendelea kulala wanapotakiwa kupumzika kwani hufanya mwili wako kupata nguvu mpya unapoamka. Lakini je, ni kiasi gani unalala ili kuendelea kuwa na afya njema? Kuna namna sahihi na zile ambazo sio sahihi unapolala ili kuupumzisha mwili wako. Watafiti kutoka Kituo cha Upasuaji wa Moyo Onassis kilichopo mjini Athens nchini Ugiriki walifanya tafiti na kuwagawa watu katika makundi matatu kwa lengo lake ni kuweza kujua kiwango sahihi cha muda ambao mtu anatakwa kulala. . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E